Misala inazidi kumuandama 'baby hitmaker' Justin Bieber
ambae hivi karibuni alikubwa na bad publicity baada ya picha yake
akivuta bangi
kusambaa kwenye mitandao, sasa ameburuzwa mahakamani na bodyguard wake
wa
zamani Moshe Benabou aliyemfanyia kazi kuanzia March 2011 hadi october
2012
akimtuhumu kwa kumpiga ngumi kadhaa kifuani wakati wamajibishano kati
yake na
mwimbaji huyo.
Katika mashtaka hayo pia, mlalamikaji amesema hakuwahi
kulipwa na Bieber malipo yake ya over time japokuwa alikuwa kifanya kazi
kwa
muda wa saa 14 hadi 18 kwa siku. Kwa
hiyo anadai malipo ya fidia ya $ 421,261 kwa ajili ya malipo yake ya
overtime,
likizo na na wage benefit.
Mwanasheria wa bodyguard huyo alisema, "Kwa miaka
takriban miwili Mr. Benabou alijitoa kikamilifu kuhakikisha usalama wa
Mr.
Bieber, hivyo Mr. Benabou alistahili kama waajiliwa wengine, kuwa
treated kwa
heshima, utu wake kwa mujibu wa sheria, unfortunately hakupata vyote
hivyo."
Kwa upande wa Bieber hawakutoa tamko rasmi kujibu tuhuma
hizo, lakini mtu mmoja wa karibu wa Justin Bieber aliliambia US Weekly
kwamba
mashtaka hayo hayana msingi wowote.
Comments
Post a Comment
toa maoni yako hapa pia usisahau kuweka coment