Moja ya nyumba ikiteketea
wakati wa vurugu mkoani Mtwara ambapo magari 18, pikipiki 7
viliteketezwa kwa moto vyote vikiwa ni mali za halmashauri ya Masasi na
baadhi ni vya watumishi wa halmashauri hiyo.

Gari la wagonjwa likiteketea kwa moto.

Sehemu ya magari yakiendelea kuteketea kwa
moto.
Jengo la Mahakama lililochomwa moto.
Chumba cha Jenereta kilichochomwa moto.
Nyumba inayosemekani ni nyumba ya waziri
ikiwa imeharibiwa vibaya.
Nyumba inayosemekana ni ya Mwenyekiti wa CCM
baada ya kuharibiwa.








Hivyo ndivyo hali ilivyokuwa wakati wa vurugu
hizo.

Comments
Post a Comment
toa maoni yako hapa pia usisahau kuweka coment