AVRIL ADAIWA KUJIACHIA KIHASARA HASARA AKIWA BONGO NA KUJIKUTA AKIISHIA KUGAWA PENZI KWA DIAMOND....
SHEBBY D BLOG
Siku ya ijumaa mitandao mbalimbali ya
kijamii iliandika kuhusu Diva wa
Kenya ,Avril kwamba hivi karibuni
alipotua bongo alijiachia kihasara na kujikuta akiishia kugawa penzi kwa msanii Diamond...
Baada ya habari
hizi kuzagaa kila kona,Avril ameamua kuvunja ukimya na
ufunguka ya moyoni kuhusu uhusiano wake na Diamond......
avril alipokumbwa na kashfa ya usagaji
avril alipokumbwa na kashfa ya usagaji
"Mimi na Diamond ni marafiki tu na ni ukweli uliwazi kuwa
kuna wsichana wengine pia ambao walioneka katika video yake ya KESHO.....
Sisi tuliombwa tu tumpe "sapoti" katika
video yake yake ya NATAKA KULEWA na KESHO ambayo
ilifanywa na Ogopa DJs......
Sijawahi toka na
Diamond na kwenda Zanzibar kuspend kama ambavyo watu wanada.Nashangaa ni nani
aliyesambaza
huu uzushi".....Avril


Comments
Post a Comment
toa maoni yako hapa pia usisahau kuweka coment