Skip to main content
APIGWA RISASI KWA UGOMVI WA SHs. 100 YA MAJI
MKAZI
wa mtaa wa Tandika,Frank Filias (25) akiwa amelazwa katika hospitali
ya wilaya Temeke wodi namba saba baada ya kupigiwa risasi na
mfanyabiashara mmoja wa mbao kufuatia ugomvi wa kudaiana Sh 100 ya maji
ambayo mama yake mzazi, Sarah Mwaikatale alidaiwa na jirani yake kuwa
alishindwa kumlipa
Comments
Post a Comment
toa maoni yako hapa pia usisahau kuweka coment