Msanii wa Bongo
Movie almaarufu kama VICENT KIGOSI
a.k.a Ray, baada ya kutamba na filamu kadhaa nzuri kama Sister Mary na nyingine kali sasa ameamua kuja na kitu kipya.
Leo latest info mpya nyingine ambayo tumeipata kutoka kwa msanii huyu ni kwamba anatarajia kuachia filamu yake mpya ambayo inakwenda kwa jina la Wave of Sorrow.
Kwa hiyo kama wewe ni shabiki wa Bongo Movie kaa tayari kwa ujio mwingine kutoka kwa VICENT KIGOSI.

Comments
Post a Comment
toa maoni yako hapa pia usisahau kuweka coment