Skip to main content
RAIS KIKWETE AKABIDHI NYUMBA MPYA 35 ZA WALIOATHIRIKA NA MILIPUKO YA MABOMU YA GONGO LA MBOTO
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akifunua kitambaa kuashiria uzinduzi rasmi wa
nyumba mpya 35 ambazo serikali imewajengea waathirika wa mabomu Gongo la
Mboto katika
eneo la Msogole, Toangoma, Wilaya ya Ilala jana Desemba 13, 2012.
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akikata utepe kuashiria uzinduzi rasmi wa nyumba
mpya 35 ambazo serikali imewajengea waathirika wa mabomu Gongo la Mboto
katika eneo la
Msogole, Toangoma, Wilaya ya Ilala jana Desemba 13, 2012.
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na mmoja wa walionufaika na hatua ya
serikali ya kujenga nyumba mpya 35 kwa ajili ya waathirika wa mabomu
Gongo la Mboto katika
eneo la Msogole, Toangoma, Wilaya ya Ilala jana Desemba 13, 2012. Mama
huyu ambaye alipoteza mume, amejengewa nyumba ya vyumba vitano pamoja na
fremu ya duka.



Baadhi
ya nyumba mpya 35 ambazo serikali imewajengea waathirika wa mabomu
Gongo la Mboto katika eneo la Msogole, Toangoma, Wilaya ya Ilala
kama zinavyoonekana jana Desemba 13, 2012 baada ya kuzinduliwa na Rais
Jakaya Mrisho Kikwete.
(PICHA NA IKULU)
Comments
Post a Comment
toa maoni yako hapa pia usisahau kuweka coment