Shebby d blog
MCHAMBUZI: IMORI MARK
MATOKEO
YA DARASA LA 7 NI KITUKO NA NI AIBU KWA TAIFA TOFAUTI NA
ILIVYOWAKILIWASHWA KWENYE VYOMBO VYA HABARI NA WAZIRI HUSIKA.
WAZIRI
ALISEMA IDADI YA WALIOENDA SEKONDARI IMEONGEZEKA UKILINGANISHA NA MWAKA
JANA LAKANA JE WAJUA UFAULU WAO???
------------------------------------------------------------------
WALIOPATA:
A - 3,087,
B - 40,683, C - 222,103
CHUKUA
A+B+C = 265,873
WALIOCHAGULIWA KWENDA
KIDATO CHA KWANZA NI 560,706.
KWA HIYO WATAHINIWA 294,833 WAMECHAGULIWA
KUTOKA DARAJA "D".......WAKATI
DARAJA LA UFAULU KWENDA SEKONDARI NI KUANZIA "C" ....YAANI ALAMA
101/250.
ZAIDI YA 51% YA WALIOCHAGULIWA NI KUTOKA
DARAJA "D" YAAN CHINI YA ALAMA 100/250.
JE, KTK HAWA 294,833 TUTAKOSA WASIOJUA KUSOMA NA KUANDIKA
VIZURI?
--------------------------------------------------
UPDATE:
Mroki Mroki aka Father Kidevu wa mrokim blog anasema:
"Taarifa zinasema kuwa Wizara
ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi
inawataka Wazazi, Walezi na wanafunzi kufika katika Ofisi za Elimu Mkoa
au Wilaya zao ndipo majina ya Wanafunzi na Shule walizopangiwa
yanapatikana."
Comments
Post a Comment
toa maoni yako hapa pia usisahau kuweka coment