- Get link
- X
- Other Apps
.
Kikosi cha zamani cha Taifa Stars
Kikosi cha zamani cha Taifa Stars
Kikosi cha Kilimanjaro Stars
kilichoriki Tusker Challenge Cup Uganda
Kikosi cha Zanzibar Heroes kilicho
shika nafasi ya 3 Tusker Challenge Cup Uganda.
WAKATI
vikosi vya timu za Kilimanjaro Stars na Zanzibar Heroes vilivyokuwa
vinashiriki michuano ya Kombe la Tusker
Cecafa Chalenji jijini Kampala, vinarejea Dar es Salaam na Zanzibar hii
leo,
kesho Kocha Mkuu wa Timu ya Taifa ya Tanzania anataraji kutanga kiksi
kipya cha
timu hiyo.
Kocha
Mkuu wa Taifa Stars, Kim Poulsen kesho Jumatatu saa sita mchana katika
Ofisi za
Shirikisho la Soka nchini anataraji kutangaza kikosi hicho ambacho
dhahiri
kitaundwa na Wachezaji wa timu mbili za taifa za Bara na Visiwani ambazo
zilishiriki michuano iliyomalizika jana jijini Uganda na kuonesha uwezo
wao
mkubwa kisoka.
Kikosi
chake hicho kipya kitakachoingia kambini jioni ya Desemba 12, 2012
jijini Dar
es Salaam kujiandaa kwa mechi ya kirafiki dhidi ya mabingwa wa Afrika,
Zambia
(Chipolopolo) itakayofanyika Desemba 22, 2012 katika Uwanja wa Taifa.
Jumapili
(Desemba 9, 2012). Timu hiyo itatua Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa
Julius
Nyerere (JNIA) saa 11 kamili jioni kwa ndege ya Precision Air.
Comments
Post a Comment
toa maoni yako hapa pia usisahau kuweka coment