|
YULE
MWANAMKE KATILI WA
MWAKA 2012 ALIYEJIZOELEA UMAARUFU WA UKATILI NA UNYAMA LEO TAREHE 22
ASUBUHI
ATAFIKISHWA KATIKA MAHAKAMA YA WILAYA YA MBEYA AWALI MWANAMKE HUYU
ALIFIKISHWA MAHAKAMANI HAPO AKIKABILIWA
NA MAKOSA YA KUMFANYIA UKATILI MTOTO MWENYE UMRI WA MIAKA MINNE KINYUME
CHA
SHERIA
|
Comments
Post a Comment
toa maoni yako hapa pia usisahau kuweka coment