| VIRGINIA MOKIRI ni mshiriki namba 1. Akitokea Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) na akiwakilisha Elimu ya Juu. |
![]() |
| EUGENE FABIAN Mbio za kulisaka taji la Miss Tanzania amezianzia
Mkoani Mara na baade kutwaa taji la Kanda ya Ziwa na anavalia namba 21 kambi ya taifa. |
| ANANDE RAPHAEL ni mshiriki namba 11 akitokea Mkoa wa Kilimanjaro akiwakilisha Kanda ya Kaskazini. |
| BABYLOVE KALALA ni Mshiriki na 9 akitokea mkoa wa Kagera, akiwakilisha Kanda ya Ziwa. |
| BELINDA MBOGO ni mshiriki na 29 akitoka mkoa wa Dodoma akiwaklilisha Kanda ya Kati |
| BRIGITTE ALFRED ni Mshiriki namba 26 akitokea Kitongoji cha
Sinza na anawakilisha Kanda ya Kinondoni jijini Dar es Salaam. |
| CAREN ELIAS mshiriki 23 anatokea Mbeya anawakilisha Nyanda za Juu Kusini. |
| CATHERINE MASUMBIGANA ni mshiriki na 15 akitokea Kitongoji cha Chang'ombe anawakilisha kanda ya Temeke jijini Dar es Salaam. |
| DIANA HUSSEIN amepata namba ya ushirtiki 20, akitokea kitongoji cha Dar Indian Ocean, akiiwakilisha Kanda ya Kinondoni jijini Dar es Salaam. |
| EDDA SYLVESTER amepata namba 22, akitoka Kigamboni na
anaiwakilisha Kanda ya Temeke jijini Dar es Salaam. |
| ELIZABETH DIAMOND anavalia namba 2 akitokea mkoa wa singida, akiwakilisha kanda ya Kati. |
| FATMA RAMADHANI nambari yake 25 akitoka chuo cha Uandishi wa habari Arusha ASJ, anawakilisha Kanda ya Elimu ya Juu. |
| FINA REVOCATUS namba 12 akitoka Chuo cha Usimamizi wa Fedha IFM, akiwakilisha Kanda ya Vyuo Vya Elimu ya Juu. |
| FLAVIAN MAEDA anavalia namba 10 akitokea kitongoji cha Kurasini mwakilishi wa kanda ya Temeke jijini Dar es Salaam. |
| HAPPINESS RWEYEMAMU namba 8 anawakilisha Kanda ya Ziwa Kahama- Shinyanga. |
| HAPPYNESS DANIEL namba yake ya ushiriki ni 19 anatokea jiji la Mwanza akiwakilisha Kanda ya Ziwa. |
| IRINE VEDA anatokea Lindi na kupata namba 16 akiuwakilisha Kanda ya Mashariki. |
| Anatoka Mji kasoro Bahari-Morogoro,JOYCE BALUHI mshiriki namba
13 anawakilisha Kanda ya Mashariki. |
| KUDRA LUPATOni mshiriki 24 akitokea kitongoji cha Dar Indian Ocean, akiiwakilisha Kanda ya Kinondoni jijini Dar es Salaam. |
| LIGHTNESS MICHAEL namba 5, akitokea Dodoma akiwakilisha Kanda ya Kati. |
| Kutoka mkoa wa Manyara ni LUCY STEPHANO mshiriki namba 4 akiwakilisha Kanda ya Kaskazini. |
| MAGDALENA ROY mshiriki namba 6, kutoka Kitongoji cha Dar City Centre akiwakilisha Kanda ya Ilala. |
| Mary Chizi akitokea kitongoji cha Ukonga,namba 17, akiwakilisha Kanda ya Ilala jijini Dar es Salaam. |
| MAGDALENA ROY mshiriki nambari 18, kutoka mkoa wa Iringa akiwakilisha Kanda ya Nyanda za Juu Kusini. |
| NOELA MICHAEL namba 27, anashikilia taji la kitongoji cha Tabata pia ni mwakilishi tegemeo wa Kanda ya Ilala. |
| Rose Lucas namba 28 akitokea Mkoa wa Pwani akiwakilisha Kanda ya Mashariki. |
| VENCY EDWARD mshiriki nambari 7, akitoka Mkoa wa Rukwa akiwakilisha Kanda ya Nyanda za Juu Kusini. |
| WARID FRANK huyu ni mshiriki namba 30 akitokea Arusha anaiwakilisha Kanda ya Kaskazini. |
| JESCA HAULE ni mshiriki namba 14, akitoka kitongoji cha
Chang'ombe anawakilisha Kanda ya Temeke jijini Dar es Salaam. |
| ZUWENA NASIB akiwa ni mwakilishi pekee wa chuo Kikuu Huria OUT. |

Comments
Post a Comment
toa maoni yako hapa pia usisahau kuweka coment