Star wa Bongo Movies Mtoto mzuri Shilole anaefanya
vizuri pia kwenye anga ya muziki wa mduara,yupo katika hatua za mwisho
za kumalizia video ya wimbo wake mpya unaokwenda kwa jina la Dudu....Katika
video hiyo shilole ameigiza kama anaolewa (Bi.Harusi)...akizungumza na thisisdiamond.com
alisema wimbo huo amemshirikisha Msanii wa Bongo Flavour Q-Chillah
na Audio amitengeneza na C9 huku video ya nyimbo hiyo
imefanywa na kampuni ya Kwetu Studio.....
kaa tayari soon mzigo utakua kideoni na kwenye Media
zoooteeee.....!



Comments
Post a Comment
toa maoni yako hapa pia usisahau kuweka coment