Sasa nakuja kikazi zaidi asema Try4n

msanii mwenye uwezo mkubwa sana
mwenye uwezo mkubwa sana awapo stejini  na ni msanii mweye mshaili ya ukweli aliyetamba miaka ya nyuma na baadhi ya nyimbo zake kama binti Holda , Steira na nyinginezo nyingi. Akiongea na SHEBBY D BLOG amesema sasa anakuja kikazi zaidi kwani ameshaaza maandalizi ya kushoot kitu chake kipya ambacho amesema jina la nyimbo  hiyo atalitoa hivi punde. Pia ameshafanya maongezi na baadhi ya studio kwa ajili kazi zake mpya. Pia ameshafanya maongezi na baadhi ya wasanii kama vile Best Nasso ,Linex , Spak na wengineo wengi. SHEBBY D BOG ilimuuliza vipi mbona alikuwa kimya sana alijibu kwamba alikuwa anapeka home freshi kwanza amesema sasa hivi ana mjengo wake ambao ndio ulimuumiza sana kichwa ,Pia amesema tofauti na mziki anafanya bihashara zake binafsi na amesema zinaenda vizuri .Amaomba wapenzi wa miziki yake walio mkosa hewani muda mrefu sasa anakuja kikazi zaidi aina kuremba. hayo ndio maneno yake TRY4N (Tryphone Paulo)



Comments