WAKATI watanzania wengi wakiamini kuwa
msanii Ney Wa Mitego, yupo
kwenye mahusiano ya kimapenzi na mwanadada wa kwenye tasnia ya filamu Salma Jabu ’Nisha’, mkali huyo
amekanusha uwepo wake kwenye mahusiano na mwanamke yeyote na kudai kuwa
kwa sasa ana marafiki tu wa kike wa kubadilishana mawazo na si wapenzi
au mpenzi kama watu wanavyodai.
Hata hivyo kauli ya msanii huyo inaweza kuzua utata mkubwa kwani mashabiki wake wengi wanajua kuwa mpenzi wake ni mwanadada huyo wa bongo movie ingawa tangu kutoka kwa habari hizo hakuwahi kuzungumza lolote juu ya mahusiano hayo kama ni kweli.
“Hapana kwa sasa sina mpenzi, nimeshatoka na wanawake kadhaa hilo lipo wazi lakini kwa sasa natafuta yule mpenzi mwenye tabia njema,” alisema.

Comments
Post a Comment
toa maoni yako hapa pia usisahau kuweka coment