Mwimbaji Taarabu Mariam Khamisi AFARIKI DUNIA


Mwimbaji wa Taarabu MARIAM KHAMISI amefariki Dunia wakati akijifungua,Mariam ametangulia mbele za haki na kutuachia Mtoto mchanga....Mungu ampumzishe kwa amani

Comments