![]() |
| Hali ya sasa ya mtoto Juliana baada ya kufanyiwa matibabu ya awali |
| Mtoto Juliana Mwinuka |
Kwa sasa anaendelea vizuri na sura yake imeanza kurudia katika hali ya kawaida japo bado kufanyiwa oparesheni nyingine .
Mtandao huu unaendelea kuwapongeza wote wanaoendelea kuguswa na kuungana na wadau wengine kumchangia fedha za matibabu ,mtoto Juliana kama anavyoonekana akiwa ameunga uso wake kwa moto ni yatima anahitaji msaada wako ili kunusuru maisha yake.
Nawaomba tuungane kufanikisha kuokoa maisha ya mtoto Juliana Mwinuka na Mungu atatuongezea zaidi

Comments
Post a Comment
toa maoni yako hapa pia usisahau kuweka coment