MAELFU ya wakazi wa jiji la Dar es Salaam na vitongoji vyake leo
walijitokeza kwa wingi katika mazishi ya mwimbaji wa taarabu wa bendi ya
TOT, Mariam Khamis, ambaye amefariki jana alfajiri katika Hospitali ya
Taifa ya Muhimbili ambako alienda kujifungua.
(PICHA ZOTE NA ISSA MNALLY)
(PICHA ZOTE NA ISSA MNALLY)
Comments
Post a Comment
toa maoni yako hapa pia usisahau kuweka coment