Jumamosi wiki
iliyopita, msanii Diamond
alipata ajali barabara ya chole alipokua akitokea Sleepway kushoot
video ya pini lake jipya lenye zengwe hatari tangu litoke (nataka
kulewa).
"mida kama ya saa tatu tatu hivi kasoro,nikiwa narudi home, napita mitaa ya arabela mbele kuna Rav 4 mkono wa kulia kuna pikipiki nilikua nataka ku overtake pikipiki, nikataka niikwepe pikipiki kwapembeni kulikua na shimo, nikajaribu kurudi kwenye lami ndio nikaenda kugongana na Rav4..lakini hakuna mtu alieumia,"
"unajua mwisho wa mwaka tena huu, watu wanatoa kafara zao bahati mbaya zinatukuta watu kidogo manguli hazituumizi sana, wepesi wepesi wangeondoka mzima mzima kabisa wangebaki story tu alikufa na ajali, sababu hata ukitazama wanaopata ajali ni wale wanao hit, zinafeli hahhaaaaa i was just kidding." ameema Diamond

Comments
Post a Comment
toa maoni yako hapa pia usisahau kuweka coment