![]() |
| Walter mshindi wa Bss |
Kiukweli muda wangu uwa ni mchache sana kukaa kwenye
TV,ila siku ambayo Walter aliimba wimbo wa Mawazo nilikuwa
home.....nikamsikiliza kwa umakini sana nakugundua anakitu ndani yake,
namaanisha ana uwezo wa ziada na nafasi nzuri katika muziki wa Tanzania,
swala la kufika level za kimataifa hilo ni swala la sisi watanzania
kumwezesha pamoja na Yeye kuwa under management makini hasa kipindi
hichi anachoanza kuingia katika fani hii ya muziki....nilimpigia kula
nikijiamini Walter ndiye mshindi wangu na kweli
hajaniangusha....Nimefurahi sana. Nakutakia kila La Heri.

Comments
Post a Comment
toa maoni yako hapa pia usisahau kuweka coment