Afrika inapoteza takribani dola bilioni 50 kila mwaka kutokana na wizi wa rasilimali zinazoporwa kwenda nje ya barahilo.
Takwimu hizo ni kwa mujibu wa Tume ya Thabo Mbeki Foundation inayosimamia utawala bora na rasilimali za Afrika.
Kiongozi wa zamani wa Afrika Kusini Thabo Mbeki akiwa JijiniDar es Salaamleo amelitazama tatizo la wizi wa raslimali kama tatizo la kiutawala kwa viongozi wa Barahilo.
Katika kutano huo uliohudhuriwa na viongozi mbalimbali, kilio kikubwa ni ukosefu wa uwajibikaji kwa watawala na Thabo Mbeki anatoa pendelezolakekuwaVijana wa bara la Afrika wana nafasi kubwa ya kuhakikisha matatizo hayo yanakoma.
Mapendekezo yaliyotolewa katika majadiliano hayo ni kwa Waafrika kuwa na mtangamanokamawa nchi za Jumuiya ya Ulaya kusimamia raslimali za mataifa ya nchi zinazoendelea.
Taasisi ya Uongozi wa Foundation ndio mdau mkuu wa ugeni wa Thabo Mbeki hapa nchini ambao umelenga kutathimini namna ya kuleta mabadiliko kwa viongozi hususan kuchochea uwazi na uwajibikaji.
Comments
Post a Comment
toa maoni yako hapa pia usisahau kuweka coment