WAJUMBE WA CCM WAPATA AJALI MWANZA.....

Wanausalama barabarabani wakipima ajali hiyo iliyosababisha kifo cha mtu mmojaambaye ni dereva wa basi lenye namba za usajili T 853 BRB lililokuwa na wajumbe wa CCM

kutoka wilaya ya Kwimba mkoani Mwanza leo.

Basi lenye namba za usajili T 853 BRB lililokuwa na wajumbe wa CCM
ikiwa katikati ya barabara mara baada ya kupata ajali.

Baadhi ya wananchi wakiwa eneo la tukio....

Comments