Skip to main content
UJIO MPYA WA MSANII SHEBBY MAN A.K.A 99
Msaanii mpya kutoka pande za Runzewe ametangaza kuja upya kwenye anga ya mziki baada ya kukaa kimya muda mrefu. Ameongea na SHEBBY D BLOG na kumueleza kwamba video yake mpya iko mbioni kutoka, na j5 ya mwezi huu ataindondosha kitaa hivyo kaa mkao wa kula. Vilevile ameeleza kwamba yeye anakuja na staili mpya na ya kipekee kabisa kuliko walivyomzoea. Na nyimbo anayokuja nayo inaitwa Kanitoka mama ndani ya nyimbo hiyo kasimama na dogo mmoja mkali anaitwa Nabii . Mi sisemi mengi mtashuudia video inakuja.
Comments
Post a Comment
toa maoni yako hapa pia usisahau kuweka coment