TUNAKUTAHADHALISHA USILE NYAMA USIZOJUA ZIMETOKEA WAPI

                 Hawa jamaa walifumaniwa LIVE na camera wakiwa wanachuna mbwa kwa ajili ya supu na mishikaki, hivyo tunawatahaadhalisha watu wasipende sana kula mishikaki ya sehemu isiyoeleweka.

Comments