Ni
kitambo sasa tangu kuwepo kwa taarifa kuwa staa wa Bongo Movie, Juma
Kilowoko, 'Sajuki' ni mgonjwa , huku pia taaraifa za karibunu zikidai
kuwa hali ya nyota huyo bado ni tete na kuzua hofu kubwa kwa
mashabiki wake.
Kupitia
teeentez.com pekee taaraifa rasmi ni kuwa hali nyota huyo kwa sasa ni
njema yuko tayari tena kuanza kuwatumikia watanzania kupitia tasnia
ya filamu.
Kwenye
Exclusive interview aliyofanya na teentz.com mapema leo Sajuki
amewashukuru watanzania kwa kuwa pamoja nae kwenye wakati wote wa
matatizo mpaka sasa anajisikia yuko vizuri tofauti na ilivyokuwa
awali.
Nashukuru
kuwa sasa niko poa, watanzania waelewe hilo, kwa sasa naweza hata
kuendesha gari na karibuni nitaanza kucheza muvi tena alisema Sajuki.
katika kuonyesha kuwa anathamini mchango
wa Watanzania Sajuki ameachia ngoma ambayo ameamua kuipa jinala
Shukurani
Comments
Post a Comment
toa maoni yako hapa pia usisahau kuweka coment