| Hashim Lundenga, Victoria Kimaro Meneja wa Kinywaji cha Redds, Victoria Kimaro... |
| Warembo
wanaowania taji la Redd's Miss Tanzania 2012 wakiwa katika picha ya pamoja na Hashim Lundenga, Victoria Kimaro.... |
Leo hii tunapenda kuchukua nafasi hii kuwatangazia rasmi kuwa katika fainali ya Redds Miss Tanzania mwaka zawadi zitakuwa kama ifuatavyo:
1) Mshindi wa Kwanza atapata zawadi ya pesa taslimu shs: 8,000,000/- pamoja na gari
2) Mshindi wa pili atapata zawadi ya pesa taslimu shs: 6,200,000/-
3) Mshindi wa tatu atapata zawadi ya pesa taslmu shs: 4,000,000/-
4) Mshindi wa nne atapata zawadi ya pesa taslimu shs; 3,000,000/-
5) Mshindi wa tano atapata zawadi ya pesa taslimu shs: 2,400,000/-
6) Mshindi wa sita hadi wa 15 kila mmoja atapata shs: 1,200,000/-
7) Washiriki wengine wote waliobaki kila mmoja atalipwa shs: 700,000/-
Comments
Post a Comment
toa maoni yako hapa pia usisahau kuweka coment