Skip to main content
PROMOTA MPYA KUTOKA KANDA YA ZIWA
 |
Promota Dick
|
Anatokea pande za geita ameahidi kufanya kazi na wasanii kibao ndani na nje ya kanda ya ziwa akiongea na Shebby D Blog ameiambia kwamba ameanza kazi na Best Nasso na sasa yupo Chief Maker yupo nae kwenye ziara. Na amesema anafanya mazungumzo na wasanii wengine
Comments
Post a Comment
toa maoni yako hapa pia usisahau kuweka coment