MAKAMUZI YA JANA KATIKA SERENGETI FIESTA
SHEBBY D BLOG

Wasanii
wa kikundi cha Makomando kutoka THT wakionesha umahiri wao wa kucheza
jukwaa.

Msanii
wa muziki wa kizazi kipya Dyana pichani akionesha mbwembewe zake kabla
ya kukamata kipaza sauti,mbele ya umati mkubwa uliojitokeza kwa wingi
usiku huu ndani ya viwanja vya Lidaz Club,Kinondoni jijini Dar

Msaniii
mahiri wa kizazi kipya,Barnaba Boya kiimba jukwaani huku Dyana na
skwadi lake wakionesha mbwembwe zao kama kawa.

Msanii
wa muziki wa kizazi kipya Barnaba Boy akiimba jukwaani 

Mmoja
wa wshindi wa shindano la Serengeti Supa Nyota 2012,Youk Killer
akishusha mistari yake nguvi ,huku shangwe na vigele vigele
vikiwa vimetawala.

Mashabiki
wakishangweka vilivyo.

Mmoja
wa washindi wa shindano la Serengeti Supa Nyota 2012,Jo Maker akifloo
jukwaani. .


Baadhi
ya mashabiki wakijiachia vilivyo ndani ya tamasha la
Serengeti Fiesta 2012

![]() |
| Mmoja wa wshindi wa shindano la Serengeti Supa Nyota 2012,NeyLee akiimba jukwaani . |
Baadhi
ya wasanii kutoka nyumba ya vipaji THT wakiamsha amsha wakati
tamasha la Serengeti Fiesta 2012 likiendelea huku mashabiki na wapenzi
wa tamasha hilo wakiendelea kumiminika usiku huu ndani ya viwanja vya
Lidaz Club,jijini Dar.

Mmoja
wa wasanii chipukizi kutoka kwa THT,akiimba kwa hisia mbele ya umati
mkubwa wa watu (haupo pichani),uliojitokeza kushuhudia wasanii wa hapa
nyumbani na nje wakitumbuiza katika jukwaa moja .

Mmoja
wa wasanii chipukizi akinogesha jukwaa la Serengeti Fiesta 2012

The
Wacko Jako wa bongo akifanya vitu vyake jukwaani

Baadhi
ya wakazi wa jiji la Dar na vitongoji vyake wakiwa tayari ndani ya
viwanja vya Lidaz Club,Kinondoni jijini Dar usiku wa jana wakati wa tamasha
la Serengeti Fiesta likiendelea kurindima,huku wakimsubiri kwa hamu
mwanamuziki wa Kimataifa kutoka nchini Marekani.

