Dok. Cheni akiwa kwenye pozi na Wolper juu ya jukwaa.
Msanii wa Bongo Fleva, Ommy Dimpoz akiwajibika
jukwaani na mnenguaji wake.
Chidy Benz akikamua jukwaani hapo.
Omm Dipoz akizungumza na mashabiki zake jukwaani.
Dogo Asley akiwajibika.
Awali jana mchana hawa ni baadhi ya watoto
wakichezeshwa ukumbini hapo.
Watoto hawa wakijiandaa kushindanishwa moja ya mchezo
wa kuzungucha rigi kiunoni jana mchana ukumbini hapo.
Mmoja wa watoto waliofika Dar Live mchana
akikabidhiwa baiskeli baada ya kuibuka mshindi katika mchezo wa kuruka
kamba.
Mchekeshaji maarufu Mtanga, akizungumza na mmoja wa
watoto ndani ya Dar Live.
Sehemu ya umati uliyojitokeza ukumbini
hapo.
MSANII wa chimbo la filamu Bongo, Jacqueline Wolper
Masawe, usiku wa kuamkia leo ameibuka kidedea kwenye shindano lililokuwa
likiwashirikisha mastaa wa kike Bongo la Ijumaa Sexiest Girl ndani ya
Ukumbi wa Dar Live Mbagala jijini Dar es Salaam.
Wolper amejizolea heshima lukuki na kitita cha sh.
milioni 2 ikiwemo na ofa ya kulipiwa saluni kujiremba kwa mwaka mzima.
Usiku wa leo pia ndani ya ukumbi huo
kulikuwa na burudani kibao kutoka kwa Ommy Dimpoz, Chidy Benz, Dogo
Asley, TOT Taarab na michezo kibao ya watoto iliyosindikizwa na shindano
la Mkali wa Mic.
ZIKO POWA
ReplyDelete