Chris Brown
and Rihanna
hawakuficha hisia zao za mapenzi mbele ya macho ya watu jioni ya tarehe
1 mwezi wa kumi (10) pale walipokutana katika klabu ya NYC Hotspot Griffin.
wawili hao walionekana wakibusiana na kucheza ktk klabu hiyo na baadae
wakajifungia chooni kwa muda wa Dk 30 huku walinzi wakiwa wamesimama nje
ya choo hiko ili mtu mwingine asiwasumbue kwenye madavidavi (mapenzi)
yao.
Mashuhuda wanasema kwamba wawili hao waliingia klabuni hapo kwa wakati tofauti na kukaa meza tofauti mpaka pale Chris,23, alipomfuata Rihanna(RIRI),24, na kukaa naye. Ila baadae kidogo Chris alivua sharti na kuanza kucheza kwenye meza hiyo, Rihanna kuona Chris akicheza naye akainuka na kucheza nae mpaka pale walipoanza kubusiana kwa mahaba. Kilichofuata ni Rihanna kwenda kwenye chumba cha faragha ambapo Chris haraka haraka akamfuata ndo hapo walipoishia kwenye choo cha chumba hicho. kazi kweli kweliiiiii

Comments
Post a Comment
toa maoni yako hapa pia usisahau kuweka coment