TAARIFA
ZILIZOTUFIKIA NI KWAMBA BAADHI YA WAUMINI WA DINI YA KIISLAMU JIJINI
ARUSHA WANAJIANDAA KUFANYA MAANDAMANO KUFUATIA NYUMBA YA KATIBU MKUU WA
BARAZA KUU LA WAISLAMU TANZANIA (BAKWATA)MKOANI ARUSHA KURUSHIWA BOMU
USIKU WA KUAMKIA LEO NA WATU WASIOJULIKANA. HABARI ZAIDI ZITAWAJIA HIVI
PUNDE!
Comments
Post a Comment
toa maoni yako hapa pia usisahau kuweka coment