Katika kujikwamua na janga la umaskini, vijana wengi wa mjini lunzewe wameamua kujikita kwenye masuala ya usanii wafilamu ambapo wamedai kwamba unalipa kuliko fani nyigine, SHEBBY D BLOG ilipata kuudhulia uzinduzi filamu moja wapo yakundi la TIGER GROUP kundi linalojiusisha na filamu za ngumi na mapenzi kidogo,. kiukweli tulifalijika sana kwani maandalizi yalikuwa ya uhakika na filamu ilkuwa nzuli na ya kupendeza sana. Kuna taarifa zimetufikia kwamba mpaka sasa kuna kama filamu 3 zimeshazinduliwa miongoni mwa hizo kuna filamu inaitwa DUNIA DUARA inafanya vizuri sana kwenye soko la filamu tanzania. SHEBBY D BLOG inawatakia kila la heli mzidi kufanya mambo makubwa mpaka mfikie malengo.
Comments
Post a Comment
toa maoni yako hapa pia usisahau kuweka coment