USAFIRI BADO WA SHIDA RUNZEWE WACHIMBAJI WAHAHA!!!!!!!








Kutokana na kugundulika kwa dhahabu kijiji jilani na mji wa Runzewe, wachimbaji wengi wamekuwa wakifulika kwa wingi na wengine kukosa usafili wa kawaida na kuamua kupanda magari ya mizigo kama unavyoona kweye baadhi ya picha SHEBBY D BLOG itaendelea kuwaletea taarifa.

Comments