Muda mfupi kama dk 30 ndani ya EATV kwenye kipindi cha Friday Night Live kinachoendeshwa na Sam Misago na Lady Naa alikuwa anaojiwa Jack Wolper na akaulizwa maswali kibao yanayomuhusu yeye na mapenzi kwa ujumla. Kilichonifurahisha ni jinsi alivyokuwa akijibu maswali
Comments
Post a Comment
toa maoni yako hapa pia usisahau kuweka coment