SHEBBY D BLOG imepata fulsa ya kuongea msanii H R ni msanii kutoka pande za BUKONDO iko mkoa wa Geita. anasema anapenda sana kazi ya mziki kwani ndio kazi anayoitegemea hapo baadaye, ameshatoa nyimbo 3 kati nyimbo ya hizo mbiili bado hajazitolea video moja ameshaitolea, video inayoitwa Nimilikishe uzuri wako imetengenezwa na Produce wa Geita ajulikanaye kwa jina la Peter video.Msanii huyo amesema anamachungu lakini tatizo alilonalo ni fedha kwani maisha yake magumu hivyo kama kuna mdau anapenda afanye nae kazi yupo tayari.Kwa upande wa wasanii anaowakubali ni DIAMOND na BEST NASSO . Shebby D Blog inamtakia kila la heli afanikiwe na awe juuu zaidi.

Comments
Post a Comment
toa maoni yako hapa pia usisahau kuweka coment