COPER HEAD ANAMSAKA MWANAE !!!!!!!!!!!!!!

COPPER HEAD NI WA KATIKATI
Msanii wa kizazi kipya COPER HEAD ameitambulisha kitaa nyimbo yake mpya inayotamba kwasasa kanda ya ziwa inayoitwa NAMSAKA MWANANGU. Tulipata  fulsa ya kuongea na msanii huyo na kumuuliza kwanini ameimba nyimbo kama  hiyo, yeye mwenyewe amesema ni kweli anasaka mwanae, na nyimbo hii inamuusu yeye mweyewe kwani story ya COPPER HEAD NI WA KATIKATIkweli.SHEBBY D BLOG itawaletea video yake hivi punde

Comments