
Chama tawala cha Patriotic Front kinawakilishwa na Edgar Lungu na Hakainde Hichilema anayewakilisha United Party for National Development kwenye uchaguzi huo.

Tume ya Uchaguzi Zambia imesema zoezi la
kuhesabu kura litaanza muda mfupi baada ya kukamilika kwa zoezi la
kupiga kura na matokeo yatatangazwa ndani ya saa 48, Rais atakayeshinda
atakaa madarakani kwa kipindi cha miezi 18 tu ili ufanyike uchaguzi mkuu
mwingine.

Post a Comment
toa maoni yako hapa pia usisahau kuweka coment