0

luxMarekani kupitia kampuni ya Local Motors ikishirikiana na maabara ya Oak Ridge imezindua teknolojia mpya ya magari yanayotengenezwa kwa kutumia malighafi ya plastic.
Vipuri vya gari hilo vinatengenezwa kwa kutumia teknolojia ya 3D ambayo imetumia kuchapisha vipuri vya gari hilo ambalo kwa muonekano ni kubwa lakini uzito wake ni mdogo sana ukilinganisha na magari mengine.
localUtengenezaji wa gari hilo ulichukua muda wa saa 44 tu, betri yake hutumia gesi na ina uwezo wa kudumu maili 40 hadi 60 kabla ya kuisha nguvu na gharama ya gari ni paundi 18,000 sawa na milioni 47.7 za Kibongo
on
Mkurugenzi mtendaji wa kampuni ya Local Motors, Jay Rogers alisema gari hilo litaanza kuuzwa mwishoni mwa mwezi huu kabla ya kusambazwa kwenye soko la nje.

Post a Comment

toa maoni yako hapa pia usisahau kuweka coment

 
Top

SOMA HABARI KEM KEM KUPITIA BLOG YAKO PENDWA YA HISIA ZA MWANANCHI HAPA

X