2
Kwa sasa mtandao wako uupendao wa Shebby D  Blog umelejesha huduma ya wanaotafuta wachumba na marafiki. Huduma hii ilisitishwa kitambo sana kutokana na mambo kuingiliana. Sasa basi kama wewe unatafuta mchumba au rafiki na kati ya waliojitokeza leo watakuwa hawajakizi vigezo vyako usisite kututumia maombi yako kupitia no 0752520417 au kwa email degeshaban@gmail.com  au degeshaban@yahoo.com.Leo tunayo maombi haya hapa  

  Naitwa Patric Jumanne natafuta mchumba umri kuanzi miaka 18- 20 no 0784737824

Mimi naitwa Annastazia wa Mwanza kwa sasa nipo kibaha natafuta mume wa kunioa awe mchamungu awe na kazi mimi elimu yangu kidato cha nne sibagui kabira wala rangino 0766327747 natanguliza shukrani kwa mungu najua nitampata. miaka yangu ni 21 na mme nayemtaka awe na miaka 24 na kuendelea.

mimi naitwa Malipula natafuta mchumbawa umri miaka 18 - 20 mimi nina miaka 23  no 0683485853

Naitwa Elicknipo Kahama nina miaka 22 natafuta mchumba  mwenye miaka 20 - 30  namba 0753951649

 Naitwa Hassan miaka 20 natafuta mchumba wa kike awe umri 18-20 anitafute no 0764778088.

Mimi ni msichana wa miaka 23 natafuta mwanaume aliye na lengo la kuoa na sio  kuchezeana. Umri kuanzia 28 - 35 elimu yangu ni chuo , dini mkiristo sichagui kabila. Tafadhali naomba mwenye nia thabiti kwani na mimi na nia thabiti no yangu ni 0782022620 meseji zitajibiwa
 Kwa leo tumeamua kuweka maombi machache ila wiki ijayo talaji maombi mengi zai na kama ujalike page bofya HAPA


Post a Comment

  1. Naitwa Samson nipo mwanza natafuta rafiki wa kike anaejitambua umri wwte kwa alietayari namba angu ni 0759217552.

    ReplyDelete
  2. Naitwa Brown natafuta mpenzi wa kike tuwe wapenzi wa kudumu.. Nipo Arusha. Naomba zangu 0753 53 2626

    ReplyDelete

toa maoni yako hapa pia usisahau kuweka coment

 
Top

SOMA HABARI KEM KEM KUPITIA BLOG YAKO PENDWA YA HISIA ZA MWANANCHI HAPA

X