Unaukumbuka Wimbo wa Diamond Platnumz alioimba "Ntampata wapi ??""...Unaambiwa mabinti kibao wameanza kujigonga kwake kutokana na wimbo huo.
Mrembo
na Mwanamitindo anayeitwa Tiara , Mwenye Umri wa Miaka 23 toka nchini
Kenya amemtaka Diamond aende nchini Kenya kumchukua tena bila
malipo yoyote....
Tiara amedai yeye ana vigezo vyote anavyovitaka Diamond Platnumz. Kama ni Sura ya mtaratibu ,
Macho ya Aibu na umbo Mahabibu anavyoooo...!!!!!Angalia Video hapo chini ujionee Mambo Matamu aliyotumiwa Diamond Platnumz na Tiara Kutoka Kenya..Zari Upo ? Ongeza Utundu mama.
Tazama Video bofya hapa
Post a Comment
toa maoni yako hapa pia usisahau kuweka coment