Moja ya mastaa ambao waliwahi kufanya vizuri kwenye muziki wa Bongo Fleva, Marlaw amekuwa kimya kwa muda mrefu.
Leo nimejua kwamba muigizaji Lulu ni mmoja ya mashabiki wa Marlaw, ameonyesha namna ambavyo anamiss muziki mzuri wa Marlaw.
Kupitia ukurasa wake Instagram, Lulu ameandika hivi; “Kwani
tulikukosea nn kaka!???mbna ukatuonjesha na kutuondolea burudani
tena!???i believe ur talented tena sio kidogo,sio kwa kwa kubana pua,sio
kwa kusingiziwa pengine majukumu Ya ki kazi Au Ya kifamilia yamebana
Lakini naamini u have something to offer the whl world….Rudi msaidiane
kuendelea kupeleka mziki unapotakiwa kufika jmn…!“–@officiallulumichael
Post a Comment
toa maoni yako hapa pia usisahau kuweka coment