Kama utakumbuka siku ya Jan 28, 2015 msanii Shilole alikataa kwamba hakuna ukweli wowote kwenye story iliyoenea kwamba alimpiga mpenzi wake Nuh Mziwanda, alisikika wakati wa U Heard kwenye XXL ya Clouds FM.
Leo kwenye ukurasa wa Instagram, Shilole
amepost picha na ujumbe wa kuwaomba radhi mashabiki wa muziki kuhusu
kitendo alichomfanyia msanii mwenzake ambaye pia ni mpenzi wake, Nuh Mziwanda.
“Hii
ni kwa mashabik wangu wote nawapenda sana pili! Nawaomba radhi kwa
kitendo kilichotokea juz binafsi sikupenda but ni hasira tu. Mm pia ni
binadamu so kukosea ni kawaida so pili nimuombe na mpenzi wangu kwa
nilichofanya! Nawapenda sana haitojitokeza tena one lv sana “@shilolekiuno

Post a Comment
toa maoni yako hapa pia usisahau kuweka coment