
Washiriki wengine walikuwa wakitazama kama washangiliaji.
Katika shindano hilo mshiriki aliyeupiga mpira mara chache zaidi ndiye aliyeshinda kuwa head of house. Ni Idris ndiye aliyeibuka na ushindi huo na kuwa HoH wiki hii. Hiyo ina maana kuwa hatakuwa na hatari ya kutajwa kwaajili ya eviction.
Post a Comment
toa maoni yako hapa pia usisahau kuweka coment