Kama Bado Hujajiunga Nasi, Unaweza Kujiunga Hapa Nikutumie habari Moja Kwa Moja ..Bofya HAPA ULIKE PAGE YETU!..
Mambo
ya Mahaba nipeleke West Africa nikateketee kwa Ebola yule Mpenzi wa
Shilole Nuhu Mziwanda ameamua kuchora tatoo mkononi yenye sura ya
Shilole kuonesha mapenzi yake kwa bidada.
Hii imekuja siku chache baada ya Shilole kuwashukia wanaomsema vibaya
mpenzi wake kuwa ni mtoto, anambembenda kwasababu wapo kama mtu na
mwanae,mara kijana anapenda kulelewa.Ndio Shilole alijibu kuwa huyo si
mtoto kwani mapenzi anayompa chumbani ni mazito na angekuwa mtoto
asingekuwa analilia mapenzi bali angekuwa analilia nyonyo kwa mama ake.
Baada siku kadhaa ndio kijana huyo akaibuka na tatoo ya hiyo
kudhihirisha mapenzi kwa mwanadafada huyo. Hii ni tatoo ya pili Nuhu
kujichora baada ya ile ya kwanza yenye jina la ShishiBaby.
Btw hatuombei waachane ila siku wakiachana sijui itakuwaje?
Post a Comment
toa maoni yako hapa pia usisahau kuweka coment