0



Rihanna, Gabrielle Union na Kim Kardashian wameingia rasmi kwenye msululu wa mastaa wa Marekani ambao picha zao za utupu zimevuja mtandaoni.

Mapema Jumapili ya jana picha mbili za utupu za Rihanna zilivuja kwenye mitandao ya 4chan/Reddit. Weekend hii picha za mastaa wengine wakiwemo Kim Kardashian, Vanessa Hudgens, Kate Bosworth na Hope Solo nazo zilivuja.

Muigizaji wa filamu, Gabrielle Union ni mhanga wa uvujaji huo wa picha za faragha na ameazimia kuchukua hatua za kisheria.

Post a Comment

toa maoni yako hapa pia usisahau kuweka coment

 
Top

SOMA HABARI KEM KEM KUPITIA BLOG YAKO PENDWA YA HISIA ZA MWANANCHI HAPA

X