0


Wakati mastaa wengine wanahaha baada ya picha zao za utupu kuvujishwa mtandaoni bila ridhaa zao, stripper wa zamani na mke wa rapper Wiz Khalifa, Amber Rose ameamua kutowasubiri hackers wafanye mambo, kwa kuamua kuvujisha mwenyewe picha yake ya utupu kupitia akaunti yake ya Instagram.

Amber ambaye ni mama wa mtoto mmoja alishare picha hiyo na kuandika:
 
“Well before anyone tries to hack me I figured I’d release a brand new pic of how I actually look from the back. It’s only right… Enjoy”.

Post a Comment

toa maoni yako hapa pia usisahau kuweka coment

 
Top

SOMA HABARI KEM KEM KUPITIA BLOG YAKO PENDWA YA HISIA ZA MWANANCHI HAPA

X