0


Ingawa hajaweka wazi namna dili hii itakavyokuwa lakini kupitia ukurasa wake wa Instagram,Diamond Platnumz amepost picha ambayo imebeba maandishi yasemayo "Ningependa kukutaarifu shabiki wangu pendwa kuwa kijana wako sasa ni balozi wa application mpya iitwayo Mziiki"
 
Hii ni application ambayo itatumiwa na watu wenye simu za androad kusikiliza muziki.Huu ndiyo muonekano wake utakapokuwa ume install kwenye simu yako.

Maandishi ya Diamond pamoja na alichokipost ni hiki.
 

Post a Comment

toa maoni yako hapa pia usisahau kuweka coment

 
Top

SOMA HABARI KEM KEM KUPITIA BLOG YAKO PENDWA YA HISIA ZA MWANANCHI HAPA

X