Msanii wa kitambo wa Bongo Fleva aliyewahi kutamba na Kundi la Chamber Squad na ngoma yake ya taifa ya Kama Vipi, Moses Bushagama ‘Mez B’ anadaiwa kuwaaibisha ma-miss kwa kuwalazimisha kupiga nao picha wakiwa watupu.
Tukio hilo la kidhalilishaji na lisilovumilika lilijiri juzikati
kwenye Ufukwe wa Mikadi uliopo Kigamboni jijini Dar muda mfupi baada ya
jamaa huyo ‘kushuti’ video ya ngoma yake mpya ya Shemeji.
Kwa mujibu wa chanzo chetu, jamaa huyo aliwafuata warembo hao
waliojitambulisha kwa majina ya Vicky na Rebecca waliokuwa kwenye
swimming pool (bwawa la kuogelea) ambao ilisemekana kuwa siyo raia wa
Bongo na huko wanakotokea ni ma-miss.
Ilidaiwa kwamba Mez B ndiye aliyewaomba kupiga nao picha lakini jamaa
huyo ‘akaharibu’ baada ya kwenda mbele zaidi na kuanza kuwaminya
‘vifuu’ vyao kifuani vilivyoonekana ni vya saa sita vilivyokuwa wazi
bila hata ‘braa’.
Ilisemekana kwamba baada ya kupiga picha hizo, yeye (Mez B)
aliwafowadia washikaji zake ndipo zikazagaa kupitia mtandao wa WhatsApp.
Kumekuwa na kasumba ya kupiga picha za utupu kisha kuziachia
mtandaoni kwa kudhani kuwa ni kujiongezea umaarufu lakini ukweli ni
kujiondolea utu na heshima mbele ya jamii.

Post a Comment
toa maoni yako hapa pia usisahau kuweka coment