SIKU chache baada ya kufunga ndoa, mwigizaji
Lucy Komba amempa sharti mumewe ambaye ni raia wa Dernmark, Janus
Stanley Landrock kwamba hatozaa naye hadi atakapokamilisha suala la
uraia wake.
“Unajua napenda sana kuzaa hivi karibuni lakini itashindikana mpaka mume wangu atimize sharti la kupeleka vyeti vya ndoa na kuonyesha mimi ni mke wake halali nchini kwao na nitambulike kisheria,” alisema Lucy Komba.

Post a Comment
toa maoni yako hapa pia usisahau kuweka coment