2
Shebby D blog kwa mara nyingine leo tunayaleta maombi ya wadau wetu waliotutumia kwenye namba zetu ambazo tayari zipo mtandaoni   na kwenye email yetu ya degeshaban@yahoo.com.
Kumbuka uonapo ombi la mdau usifikili yupo kimasiala hawa watu wapo sirias kuliko ufikiliavyo usipoteze bahati hii ukivutiwa na mtu mpigie simu na ongea nao wala usiogope. Na hawa ndio wachumba na marafiki wa siku ya leo.............

Naitwa Lucy natafuta marafiki wa kubadilishana mawazo jinsia yoyote sichagui dini wala kabila umri wangu miaka 20 mawasiliano 0713159589

Naitwa Morishazi naishi Kibaha Pwani , natafuta mchumba miaka 18 - 26 asiwe na mtoto awe amesoma darasa la 7 na kuendelea asiwe mlevi, anayejitambua mwelevu,msikivumwenye kujiheshimu , awe mnene kiasi si mwembamba ,urefu cm 150, awe na sifa za kuwa mchumba ,awe mkiristo mkatoliki. Natoa mawasilano usumbufu sitaki na mlengwa siku ya kwanza tuwasilane kwa sms, mengine zaidi tutachonga kupitia 0686806949 au 0759737491 Awe mkazi wa mikoa ifuatayo Pwani , Moro, Dar , Lindi na Mtwara. 

Hamjambo mashabiki wa ukurasa  huu mimi naitwa Baraka Elikanana nipo Kilimanjaro Same natafuta mchumba wa kike mwenye umri kuanzia 20- 25. Sifa zake awe natabia nzuri awe mrembo, awe mnene wa wastani, awe mweupe au maji ya kunde. Mwenye sifa hizi anicheki kwa namba hizi hapa 0783104026

Allen nina miaka 37 natafuta mchumba umri kuanzia umri kati ya 30 - 40 mawasiliano 0764511977

Naitwa Rahama Rashidi nina miaka 25 nimeolewa natafuta marafiki wa jinsia yoyote,nahitaji kufahamiana na watu tofauti, binafsi najiheshimu naitaji wanaojieshimu no 0755826043

Mimi naitwa Sarehe saidi mkazi wa Kasungamile Mwanza ninatafuta mchumba kbila langu Msukuma nina umri wa miaka miaka 27, Natafuta mchumba sifa  1 - awe na kazi yoyote  2 - awe na umri kati ya 18 hadi 22   3- awe na heshimu wakubwa na wadogo  4 - awe anaweza kupika vizuri . Kwa mawasilano piga 0789747204

Naitwa Juma Hemedi  natafuta  mchumba umri wangu miaka 37 sifa za ninamtaka awe na sifa, muislamu mzuri , heshima , busara , awe na umri wa 25 - 30 tuwasiliane 0684446881

Kwa jina naitwa Mwikalo mzaliwa wa Handeni Tanga natafuta rafiki  wa kike umri 25 - 28 awe Mzanzibar dini awe muislamu awe kaenda madrasa  maadili mazuri 0653011889

Nimeona mambo yenu, Mi naitwa Stanslausi naishi Uyuri Tabora natafuta mfumba awe mkiristo RC mwenye umbo zuri umri kuanzia 23 - 25 aliye tayari no 0685651394 au 0768376350 sms zitajibiwa.

Naitwa Godfrey mwanafunzi advance natafuta mchumba umri kuanzi 18 - 20 mi nia 19 years naishi wilaya ya Ilala Dsm nitafute kwa namba hii 0787390039

Naitwa Isack umri 20 natafuta mchumba nipo dar kazi fundi no 0715521489

Naitwa Christian nipo Dar natafuta rafiki wa kchati nae umri awe 20-24 awe anasoma sec au chuo namba 0768212754 sms zitajibiwa

Naitwa Michael nipo Iringa nina miaka 21 nipo single natafuta marafiki wa kike  wa kuchati nao awe anajheshimu pia awe kutoka mkoa wowote  na awe mkiristo no 0713945185 AU 0752758887.

Naitwa Yeremia miaka 25 natafuta mchumba wa kuowa awe na miaka 18 - 24 awe mkiristo anayejua kupenda no 0719130031 au 0763517345

Mimi Keny nipo Iringa natafuta mchumba awe mrefu , mweupe , mpole, no 0769256758

Mi nanitwa Saimoni Masunga from Simiyu Region ndo maskani , kikazi zaidi nipo Geita napenda sana kusikia mtu anayeongelea mambo ya mungu pamoja na kimaisha kama vp nitafute zaidi 0752930634

Nimejitokeza kwenye huduma hii toka kitambo natafuta best friend kwa jina naitwa Jaizu naishi Dar Msasani elimu yangu kidato cha nne na bado naendelea na masomo nahitaji besti wa kike utanipata kwa no 0656309181 ni bip au tuma sms

Naitwa Ahamad Hassan nipo Singapoo natafuta marafiki wenye heshima zao kwa ajili ya kushauriana ktk maisha maisha umri nataka 20 -40 sichagui jinsia no 0685518044

Mimi Mtanzania halisi kwa jina naitwa Yohana nipo pande za Tanga natafuta mchumba baadaye aje kuwa mke wangu umli wa ni miaka 24 natafuta mchumba mwenye umri kuanzia 18- 21 ambaye yupo tayari tuwasiliane no 0715 717917or 0687143015.

Naitwa Monalisa niko Mbeya natafuta marafiki wa kuchati nao kubadilishana mawazo sibagui rangi wala kabila jinsia yeyote ila sms zitajibiwa no 0759144773

Naitwa Leokadia Eliasi nataka mume wa kuolewa naye umri wangu miaka 18 namba ni 0714448869 nipo Mwanza

Aje aje Tanzania naitwa simon wa Dodoma natafuta girlfriendumri kuanzia 18 - 20 aliye silias apige 0762211039 msg zitajibiwa, beep utabipigiwa. Wa Dodoma  na maeneo ya jilani watapewa kipaumbele.

Naitwa Happy nina miaka 34 mkiristo ni mwajiliwa, naishi Morogoro natafuta mchumba mwenye umri kuanzia 35 - 40 awe mkiristo pia awe mfanyakazi aliye silious tuwasiliane no 0769741349

Naitwa Ibrahimu nina miaka 23 natafuta mchumba awe Moshi no 0767591375

Kwa jina naitwa Devis natafuta mchumba sibagui sichagui umri wangu ni miaka 25 mimi ni mjasiliamali

Naitwa Alpha Apollo niko Kagera natafuta girfriend mwenye umri 18 - 23 hata kama bado anasoma simu 0758001277,0684360366 sms zote zitajibiwa

Naitwa Hancy naishi Dar nahitaji mchumba msichana kuanzia umri 20 - 30 kama anapatikana nitamjali sana piga no 0655227689 or 0755227689.

Naitwa Helman ni mkazi wa mkoa wa Tanga Hale  kwa sasa nipo Lindi kikazi natafuta marafiki sichagui jinsia wala kabira kwa mawasilano tuwasiliane kupitia no 0653263041

Naitwa Hamisi natafuta marafiki no 0687694957

Hi naitwa Agnesi umri wangu ni miaka 21 niko Arusha natafuta mchumba awe mrefu sibagui rangi awe awe muumini wa Katoriki awe na kazi anayejua kupenda  na anayejua nn thamani ya mwanamke . Mimi mnene wastani no zangu ni 0758577884

Habali zenu wadau kwa jina naitwa Samu naishi Dar natafuta mchumba binti anayejihesimu na kujitambua mtulivu umri wangu ni miaka 20 unatakiwa uwe na umri kuanzia 18-20 hakika nitampenda maisha yangu yote . Mimi elimu yangu ni darasa la 7 ni mfanya bihashara unaweza nicheki kupitia 0712915686 sms zitajibiwa mwanzo mwisho.Mungu akipenda uchumba hadi ndoa.

Hi nahitwa Juma wa Dar natafuta mchumba namba yangu ni 0714802000

Naitwa Eriji wa mwanza natafuta marafiki 0755015241

Natafuta  mchumba naitwa Annie wa Arusha no 0768333310




Ambao majina yenu hayapo hewani siku ya leo msichoke kufatilia kupitia mtandao huu wa www.shebbyd.blogspot.com
kama una maoni au mawazo kuhusu huduma zetu usisite kuwasilina nasi kupitia 0752520417  au degeshaban@yahoo.com, tunapatikana muda wote na tupo kwa ajili yenu wadau wetu. 

Post a Comment

  1. Natafuta mchumba mume mwenye vvu, umri kuanzia miaka 36 hadi 40,mkristo, 0742100294

    ReplyDelete

toa maoni yako hapa pia usisahau kuweka coment

 
Top

SOMA HABARI KEM KEM KUPITIA BLOG YAKO PENDWA YA HISIA ZA MWANANCHI HAPA

X