Kijana mmoja ambaye amefahamika kwa jina moja la Ridhiwan akutwa na wananchi Akimlawiti mtoto mwenye umri wa miaka 12 maeneo ya PPF Njiro majira ya saa 11 jioni hii
Mashuhuda wakiwa wanamshangaa kijana huyo aliyelawiti mtoto
Wananchi wakiwa wamejitokeza ili kumukamata kijana huyo...
Mpaka sasa kijana huyo yupo eneo alililo kamatwa Njiro karibu na PPF.




Post a Comment
toa maoni yako hapa pia usisahau kuweka coment