MWILI wa msanii mkongwe wa vichekesho nchini, Said Ngamba ‘Mzee Small’ utazikwa kesho saa 10 jioni katika makaburi ya Segerea jijini Dar es Salaam.
Marehemu alifariki dunia jana usiku akiwa katika Hospitali ya Taifa
Muhimbili alipokuwa anapatiwa matibabu.Mzee Small alifikishwa
hospitalini majira ya saa mbili asubuhi ya jumamosi ya June 7 (
jana ) baada ya kuzidiwa.

Post a Comment
toa maoni yako hapa pia usisahau kuweka coment